Gharama za Kutuma Maombi
LIPIA TSH. 30,000/= KWA MAOMBI YA KOZI ZA AFYA...
LIPIA TSH. 5,000/= KWA KOZI ZA UFUNDI...
NAMBA YA KUFANYA MALIPO KWA NJIA YA MPESA:
0742155623
JINA: KOLANDOTO COLLEGE OF HEALTH SCIENCES
Jinsi Ya Kufanya Malipo (Kwa MPESA)
- BONYEZA *150*00#
- NENDA NAMBA 1 “TUMA PESA”
- CHAGUA NAMBA 1 “WEKA NAMBA YA SIMU”
- WEKA NAMBA YA SIMU: 0742155623
- WEKA KIASI: TSH 30,000 au 5,000
- WEKA NAMBA YAKO YA SIRI
- KISHA ITALETA JINA “KOLANDOTO COLLEGE OF HEALTH SCIENCES”
- BONYEZA NAMBA 1 KUTHIBITISHA
- HAPO UTAKUA UMEFANIKISHA KUTUMA ADA YA MAOMBI
- UTAPATA UJUMBE WA KUFANIKIWA KUTUMA PESA NA MPESA CODE