RADIOLOGY

Radiolojia ni tawi la tiba ambalo linatumia mionzi (kama vile eksirei, mawimbi ya sumakuumeme, na mionzi ya nyuklia) kwa ajili ya kugundua, kutibu na kufuatilia magonjwa

Kozi ya radiology Ulishawahi kusikia X-Rays na ultrasound? Hivi ni vipimo muhimu ambavyo hutumika kufahamu ugonjwa wa mteja au kufahamu maendeleo yake.

Wataalamu wa radiolojia kimsingi wanapima kwa kuona picha ya sehemu husika.

baadhi ya vipimo ya wataalamu wa radiolojia ni

  • Eksirei (X-rays): Inatumia mionzi ya eksirei kuunda picha za ndani ya mwili. Inatumika sana kugundua kuvunjika kwa mifupa, magonjwa ya mapafu, na hali nyingine za kiafya.
  • CT Scan (Computed Tomography): Hii ni teknolojia ya picha inayochukua picha za mionekano mbalimbali za mwili na kuunda picha za pande tatu. Inasaidia katika kugundua matatizo ya ubongo, tumbo, na viungo vingine.
  • MRI (Magnetic Resonance Imaging): Inatumia sumaku na mawimbi ya redio kuunda picha za ndani ya mwili. Ni muhimu katika kutathmini tishu laini kama vile ubongo, uti wa mgongo, na misuli.
  • Ultrasound: Inatumia mawimbi ya sauti kuunda picha. Hutumika sana katika utunzaji wa ujauzito, pamoja na kutathmini viungo kama moyo, ini, na figo.

Majukumu ya Mtaalamu wa Radiolojia

  • Kugundua Magonjwa: Wanaradiolojia wanachambua picha za eksirei, CT, MRI, na ultrasound kugundua magonjwa na hali mbalimbali za kiafya.
  • Matibabu: Katika radiolojia ya mionzi, wanaradiolojia wanapanga na kutekeleza matibabu ya mionzi kwa wagonjwa wa saratani na magonjwa mengine.
  • Kushauriana na Madaktari Wengine: Wanashirikiana na madaktari wa fani nyingine ili kuhakikisha utambuzi sahihi na kupanga matibabu yanayofaa.

Vigezo vya kujiunga

 Walio na Mtihani wa Cheti cha Elimu ya Sekondari (CSEE) wenye ufaulu (Alama D) wa masomo matano (5) yasiyo ya kidini ikiwemo Kemia, Biolojia na Fizikia (au Sayansi ya Uhandisi.), Mathematics, na English 

 

 


KOLANDOTO
COLLEGE OF HEALTH SCIENCES          

TUITION FEE AND
OTHER CONTRIBUTIONS FOR ACADEMIC YEAR 2022/2023

DEPARTMENT OF DIAGNOSTIC RADIOGRAPHY

NO

DETAIL

SEMESTER

1

SEMESTER

2

TOTAL

PAYMENT

 

Tuition fee

600,000.00

1,600,000.00

 

OTHER
CONTRIBUTION

 

 

 

2.

Internal examinations

200,000.00

150,000.00

350,000.00

3.

Accommodation

150,000.00

150,000.00

300,000.00

4.

Library services

25,000.00

25,000.00

50,000.00

5.

College
development

50,000.00

50,000.00

100,000.00

6.

Tehama
/ internet

25,000.00

25,000.00

50,000.00

 

Total payment per semester

1,450,000.00

l,0000000

2,450,000.00

DIRECT COSTS

 

Student
union

10,000.00

 

10,000.00

8.

NHIF (Medical treatment)

60,000.00

 

60,000.00

9.

Uniform
(first year)

120,000.00

 

120,000.00

10.

NACTE registration

15,000.00

 

15,000.00

11.

NACTE
Examination Costs

 

150,000.00

150,000.00

 

Field Costs – 2nd Year

 

300,000.00

300,000.00

 

Field Costs
— 3rd Year

 

350,000.00

350,000.00

 

Graduation Costs — 3rd Year

 

55,000.00

55,000.00

1.
TUITION FEE AND OTHER
CONTRIBUTION ARE PAID INTO CRDB BANK ACCOUNT THROUGH CONTROL NUMBER WHICH IS
GENERATED ON DEMAND FROM THE ACCOUNTS OFFICE. TO

GET CONTROL
NUMBER PLEASE CONTACT 07S7507495/076969778S FROM 0800hrs1600hrs Monday – Friday

2.
ALI. DIRECT COST FEE MUST BE DEPOSITED AT COLLEGE ACCOUNT NO:
024101003999, NAME: KOLANDOTO COLLEGE OF HEALTH SCIENCES, NBC-SHINYANGA.

3.
REAM PAPER 2 (DOUBLE A), 1 SURGICAL GLOVES AND 1 CLEAN GLOVES ARE
AVAILABLE AROUND THE COLLEGE PREMISES AT AFFORDABLE PRICES.

4.
CASH IS STRICTLY NOT ACCEPTABLE; SUBMIT YOUR BANK PAY IN SLIP ON
REPORTING DATE.

Aaccountant Department.