
Awamu Ya kwanza ya wanafunzi walio jiunga na chuo chetu imetolewa
Sunday, July 16, 2023
Kama uli tuma maombi yako kuja chuoni kwetu , Tazama orodha ya wanafunzi walio jiunga na chuo chet. Lakini kumbuka hii ni awamu ya kwanza na bado una nafasi ya kujiunga na chuo chetu...........

Hatua zilizo chukuliwa na chuo cha sayansi ya Afya Kolandoto Kukabilliana na Janga la Korona
Monday, June 30, 2021
Kutokana na janga la Korona Chuo cha sayansi ya Afya kolandoto kimechukua hatu madhubuti kukabiliana na Janga hilo....

WANANCHI WAMIMINIKA BANDA LA CHUO CHA SAYANSI ZA AFYA KOLANDOTO KUPIMA AFYA MAONESHO SHINYANGA
Friday, July 30, 2021
Shughuli za upimaji afya zikiendelea kwenye banda la Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto katika Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga.....

KOLANDOTO INSTITUTE OF HEALTH SCIENCES BOSS EXPLAINS BENEFITS FROM SHINYANGA TRADE AND TECHNOLOGY EXHIBITION
Sunday, August 1, 2021
The head of the Kolandoto School of Health Sciences in The Church of Africa Inland Church Tanzania (AICT) located in Shinyanga Municipality, Dr. Paschal Shiluka said the Second Trade and Technology Exhibition in Shinyanga Region has been of great benefit as more than 450 people have visited their pavilion.......
