APPLY NOW

Kolandoto College - Mwanza Campus
Maombi Yetu

Karibu kwenye Ukurasa wa Maombi!

Waweza Kuwasiliana nasi kwa simu namba 0742155623:

  • Jaza Fomu Kikamilifu – Hakikisha umejaza taarifa zako zote kwa Usahihi.
Kolandoto College - Mwanza Campus
Malipo ya Kozi

Gharama za Kutuma Maombi

LIPIA TSH. 30,000/= KWA MAOMBI YA KOZI ZA AFYA...

LIPIA TSH. 5,000/= KWA KOZI ZA UFUNDI...

NAMBA YA KUFANYA MALIPO KWA NJIA YA MPESA:

0742155623

JINA: KOLANDOTO COLLEGE OF HEALTH SCIENCES


Jinsi Ya Kufanya Malipo (Kwa MPESA)

  1. BONYEZA *150*00#
  2. NENDA NAMBA 1 “TUMA PESA”
  3. CHAGUA NAMBA 1 “WEKA NAMBA YA SIMU”
  4. WEKA NAMBA YA SIMU: 0742155623
  5. WEKA KIASI: TSH 30,000 au 5,000
  6. WEKA NAMBA YAKO YA SIRI
  7. KISHA ITALETA JINA “KOLANDOTO COLLEGE OF HEALTH SCIENCES”
  8. BONYEZA NAMBA 1 KUTHIBITISHA
  9. HAPO UTAKUA UMEFANIKISHA KUTUMA ADA YA MAOMBI
  10. UTAPATA UJUMBE WA KUFANIKIWA KUTUMA PESA NA MPESA CODE
MPESA Code Example

Apply Online

Jina lako la kwanza
Jina lako la mwisho
namba yako ya simu inayopatikana
Wilaya Unayoishi
Namba ya simu ya mzazi au mlezi
chagua kozi unayotaka kusoma

Fields with (*) are compulsory.

Scroll to Top