Chuo cha sayansi za afya Kolandoto kinayofuraha kukutangazia dirisha la kuomba nafasi kwa mwaka wa masomo 2026/2027 limefunguliwa.