Tangazo la nafasi za kazi
MFAMASIA DARAJA II (MKUFUNZI ) NAFASI 1
MAJUKUMU YA MUOMBAJI
- kufundisha wanafunzi na watumishi walioko chini yake
- kuwaelekeza wanafunzi katika maabara ( kuwafunidhsa kwa vitendo)
- kutunga na kusahihisha mitihani yote ya ndani
- kusimamia mitihani yote ya ndani na nje
- kuwasaidia wanafunzi wanapoitaji msaada wa kitaaluma wakati wote
- na majukumu mengine utakayopewa na msimamizi wako wa kazi
SIFA ZA MWOMBAJI
- mwombaji awe na shahada ya ufamasia kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali
- mwombaji awe amesajiliwa na Baraza la Famasia Tanzania
- mwombaji awe mtanzania
- mwombaji awe mtiifu na mwenye kujituma katika kazi
- mwombaji awe na uwezo wa kujieleza katika lugha ya Kiswahili na kiingeleza kwa ufasaha
- mwombaji awe na uwezo wa kufundisha wanafunzi wa ufamasia kwa nadharia na kwa vitendo
PHARAMACEUTICAL TECHNOLOGIST
(MTEKNOLOJIA DAWA NAFASI 1)
MAJUKUMU YA MWOMBAJI
- kufundisha wanafunzi na watumishi walioko chini yake
- kuwaelekeza wanafunzi katika maabara ( kuwafunidhsa kwa vitendo)
- kutunga na kusahihisha mitihani yote ya ndani
- kusimamia mitihani yote ya ndani na nje
- kuwasaidia wanafunzi wanapoitaji msaada wa kitaaluma wakati wote
- na majukumu mengine utakayopewa na msimamizi wako wa kazi
SIFA ZA MWOMBAJI
- Awe mahiri aktika kufundisha Compounding
- Awe na GPA ya 3.5 na kuendelea
- mwombaji awe amesajiliwa na Baraza la Famasia Tanzania
- mwombaji awe mtanzania
- mwombaji awe mtiifu na mwenye kujituma katika kazi
- mwombaji awe na uwezo wa kujieleza katika lugha ya Kiswahili na kiingeleza kwa ufasaha
- mwombaji awe na uwezo wa kufundisha wanafunzi wa ufamasia kwa nadharia na kwa vitendo
NAMNA YA KUTUMA MAOMBI
- TUMA MAOMBI YAKO SASA KWA KUPITIA BARUA PEPE: info@kchs.ac.tz
KWENDA KWA, MKUU WA CHUO, CHUO CHA SAYANSI ZA AFYA KOLANDOTO S.L.P 16 KOLANDOTO, SHINYANGA TANZANIA
MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NI TAREHE: 28/01/2022