MAOMBI YA KUJIUNGA NA CHUO 2020/2021

Mkuu wa chuo anatangaza kupokea maombi ya kujiunga na chuo kwa mwaka wa masomo 2018/2019.

Kuomba nafasi ingia kwenye link hii http://kchs.ac.tz/blog/ads/apply-online kisha ujaze fomu, Lipia kwa Mpesa au fedha taslimu ofisi ya uhasibu ya chuo. 

Angalizo: Ukilipa kwa Mpesa andika code ya Mpesa na ukilipia kofisi ya uhasibu andika namba ya risiti.