LIPIA TSH. 10,000/= KWA MAOMBI YA KOZI ZA AFYA YAANI UFAMASIA, MAABARA, UTABIBU NA UUGUZI&UKUNGA
LIPIA TSH. 5,000 KWA KOZI ZA UFUNDI AMBAZO NI TEHAMA, MSAIDIZI WA MAABARA NA BIASHARA
NAMBA YA KUFANYA MALIPO KWA NJIA YA MPESA NI ***0742155623***. JINA “KOLANDOTO COLLEGE OF HEALTH SCIENCES”.
NAMBA YA MALIPO YA MPESA YAANI “MPESA CODE” UTAIANDIKA SEHEMU INAYOTAKIWA.
NB: USIFANYE MALIPO KWENYE NAMBA NYINGINE YEYOTE TOFAUTI NA HIO
MUHIMU: HAKUNA MAOMBI YATAKAYOSHUGHULIKIWA KAMA HAKUNA MALIPO.
JINSI YA KUFANYA MALIPO (KWA NJIA YA MPESA )
- BONYEZA *150*00#
- NENDA NAMBA 1. “TUMA PESA”
- CHAGUA NAMBA 1 “WEKA NAMBA YA SIMU”
- WEKA NAMBA YA SIMU AMBAYO NI “0742155623”
- WEKA KIASI AMBACHO NI TSH 10,000 au shilingi 5000 kwa kozi za Ufundi
- WEKA NAMBA YAKO YA SIRI
- KISHA ITALETA JINA “KOLANDOTO COLLEGE OF HEALTH SCIENCES”
- BONYEZA NAMBA 1 KUTHIBITISHA
- HAPO UTAKUA UMEFANIKISHA KUTUMA ADA YA MAOMBI
- UTAPATA UJUMBE WA KUFANIKIWA KUTUMA PESA NA MPESA CODE
NB:KWA WAOMBAJI WOTE HAKIKISHA UMEAMBATANISHA CHETI CHA FORM FOUR
WANAOOMBA KOZI UPGRADING HAKIKISHA CHETI CHA LEVEL 5 NA TRANSCRIPT VIWE VIMESKANIWA KAMA DOCUMENT MOJA. CHETI CHA FORM FOUR KIWE ATTACHED SEPARATELY.