TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

CHUO CHA SAYANSI ZA AFYA KOLANDOTO KINATANGAZA NAFASI MBILI

ZA KAZI KATIKA KITENGO CHA UFAMASIA :

  • MFAMASIA (DARAJA LA II) NA
  • MTEKNOLOJIA DAWA  “PHARMACEUTICAL TECHNOLOGIST”

TUMA MAOMBI  YAKO SASA KWA KUPITIA EMAIL YETU: info@kchs.ac.tz

AU KUPITIA S.L.P 16 KOLANDOTO, SHINYANGA TANZANIA

MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NI TAREHE: 28/01/2022