KABLA YA KUOMBA NAFASI PITIA ***VIGEZO HIVI *** (NACTE) KISHA LIPIA TSH. 30,000/= YA MAOMBI YA KOZI ZA NACTE NA TSH. 5,000 KWA KOZI ZA VETA KWENYE MPESA NAMBA ***0742155623***. JINA “KOLANDOTO COLLEGE OF HEALTH SCIENCES”. MPESA CODE ANDIKA SEHEMU INAYOTAKIWA. MUHIMU: HAKUNA MAOMBI YATAKAYOSHUGHULIKIWA KAMA HAKUNA MALIPO.
JINSI YA KUFANYA MALIPO
- BONYEZA *150*00#
- NENDA NAMBA 1. “TUMA PESA”
- CHAGUA NAMBA 1 “WEKA NAMBA YA SIMU”
- WEKA NAMBA YA SIMU AMBAYO NI “0742155623”
- WEKA KIASI AMBACHO NI TSH 30,000
- WEKA NAMBA YAKO YA SIRI
- KISHA ITALETA JINA “KOLANDOTO OF” BILA KUMALIZIA JINA LOTE
- BONYEZA NAMBA 1 KUTHIBITISHA
- HAPO UTAKUA UMEFANIKISHA KUTUMA ADA YA MAOMBI
NB:
- KWA WAOMBAJI WOTE HAKIKISHA UMEAMBATANISHA CHETI CHA FORM FOUR
- WANAOOMBA KOZI UPGRADING HAKIKISHA CHETI CHA LEVEL 5 NA TRANSCRIPT VIWE VIMESKANIWA KAMA DOCUMENT MOJA. CHETI CHA FORM FOUR KIWE ATTACHED SEPARATELY.